Couverture de SURA YA 5-2. Athari ya Imani, Kufanya Kazi Kupitia Upendo (Wagalatia 5:1-6)

SURA YA 5-2. Athari ya Imani, Kufanya Kazi Kupitia Upendo (Wagalatia 5:1-6)

SURA YA 5-2. Athari ya Imani, Kufanya Kazi Kupitia Upendo (Wagalatia 5:1-6)

Écouter gratuitement

Voir les détails

À propos de cette écoute

Katika Wagalatia sura 5 mtari wa 1, inasema, Kwa hiyo simameni,wala msinaswe tena chini ya konwa la utumwa. Kifungu hiki kinatuambia tusiipokee tohara ya mwili inayoturudisha kuwa watenda dhambi, kwa sababu Yesu Kristo alikuja kutuokoa kutoka katika dhambi. Bwana wetu ametufanya kuwa watoto wa Mungu kwa kutuokoa kutoka katika dhambi za ulimwengu huu kwa injili ya maji na Roho. Kwa kweli Bwana ametupa wokovu wa kweli na uhuru wa kweli kwa wale tunaoamini injili ya maji na Roho.

https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35

Les membres Amazon Prime bénéficient automatiquement de 2 livres audio offerts chez Audible.

Vous êtes membre Amazon Prime ?

Bénéficiez automatiquement de 2 livres audio offerts.
Bonne écoute !

    Ce que les auditeurs disent de SURA YA 5-2. Athari ya Imani, Kufanya Kazi Kupitia Upendo (Wagalatia 5:1-6)

    Moyenne des évaluations utilisateurs. Seuls les utilisateurs ayant écouté le titre peuvent laisser une évaluation.

    Commentaires - Veuillez sélectionner les onglets ci-dessous pour changer la provenance des commentaires.

    Il n'y a pas encore de critique disponible pour ce titre.