Couverture de SURA YA 5-1. Kaa Ndani Ya Kristo Ukitegemea Injili ya Maji na Roho (Wagalatia 5:1-16)

SURA YA 5-1. Kaa Ndani Ya Kristo Ukitegemea Injili ya Maji na Roho (Wagalatia 5:1-16)

SURA YA 5-1. Kaa Ndani Ya Kristo Ukitegemea Injili ya Maji na Roho (Wagalatia 5:1-16)

Écouter gratuitement

Voir les détails

À propos de cette écoute

Mtume Paulo alisema katika Wagalatia 2:20, Nimesulibiwa pamoja na Kristo; lakini ni hai;wala si mimi tena,bali Kristo yu hai ndani yangu. ikiwa tunaamini katika Neno hili, ya kwamba tumesulubiwa na Kristo na Yeye anaishi ndani yetu, basi tumekwisha kufa katika yeye, na Bwana wetu anakaa na anaishi ndani yetu. Kristo alichukua dhambi zote tunazotenda hapa duniani, kutoka katika dhambi zetu za zamani hadi dhambi hizi za sasa na za baadaye, kupitia Ubatizo aliopokea kutoka kwa Yohana Mbatizaji, na alikufa Msalabani na kufufuka kutoka kwa wafu tena. Sasa, kama Bwana wetu anaishi ndani yetu, kwa njia hiyo ametuwezesha kuimba zabuni na raha zake kila wakati. Bwana wetu ameishi mioyoni mwetu kama Roho Mtakatifu, na anatuongoza sote.

https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35

Les membres Amazon Prime bénéficient automatiquement de 2 livres audio offerts chez Audible.

Vous êtes membre Amazon Prime ?

Bénéficiez automatiquement de 2 livres audio offerts.
Bonne écoute !

    Ce que les auditeurs disent de SURA YA 5-1. Kaa Ndani Ya Kristo Ukitegemea Injili ya Maji na Roho (Wagalatia 5:1-16)

    Moyenne des évaluations utilisateurs. Seuls les utilisateurs ayant écouté le titre peuvent laisser une évaluation.

    Commentaires - Veuillez sélectionner les onglets ci-dessous pour changer la provenance des commentaires.

    Il n'y a pas encore de critique disponible pour ce titre.