Couverture de 8. Meza ya Mikate ya Wonyesho (Kutoka 37:10-16)

8. Meza ya Mikate ya Wonyesho (Kutoka 37:10-16)

8. Meza ya Mikate ya Wonyesho (Kutoka 37:10-16)

Écouter gratuitement

Voir les détails

À propos de cette écoute

Meza ya mikate ya wonyesho ambayo ni moja ya vifaa vinavyopatikana ndani ya Hema Takatifu la Kukutania iliundwa kwa mti wa mshita na kisha ikafunikwa kwa dhahabu safi. Ilikuwa na vipimo vya dhiraa mbili (sentimita 90: futi 3) kwa urefu, dhiraa moja na nusu (sentimita 67.5: futi 2.2) kwa kimo, na dhiraa moja (sentimita 45: futi 1.5) kwa upana. Juu ya meza ya mikate ya wonyesho kulikuwa na mikate 12 ambayo iliwekwa pale wakati wote, na mikate hii iliweza kuliwa na makuhani tu (Mambo ya Walawi 24:5-9).

https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35

Les membres Amazon Prime bénéficient automatiquement de 2 livres audio offerts chez Audible.

Vous êtes membre Amazon Prime ?

Bénéficiez automatiquement de 2 livres audio offerts.
Bonne écoute !

    Ce que les auditeurs disent de 8. Meza ya Mikate ya Wonyesho (Kutoka 37:10-16)

    Moyenne des évaluations utilisateurs. Seuls les utilisateurs ayant écouté le titre peuvent laisser une évaluation.

    Commentaires - Veuillez sélectionner les onglets ci-dessous pour changer la provenance des commentaires.

    Il n'y a pas encore de critique disponible pour ce titre.