Couverture de 6. Yesu Kristo Alikuja kwa Maji, Damu, na Roho (1 Yohana 5:1-12)

6. Yesu Kristo Alikuja kwa Maji, Damu, na Roho (1 Yohana 5:1-12)

6. Yesu Kristo Alikuja kwa Maji, Damu, na Roho (1 Yohana 5:1-12)

Écouter gratuitement

Voir les détails

À propos de cette écoute

Je, Yesu alikuja kwa maji? Ndiyo ni sahihi. Alikuja kupitia ubatizo Wake. Maji ni ubatizo wa Yesu uliofanywa na Yohana Mbatizaji kwenye Mto Yordani. Ulikuwa ni ubatizo wa ukombozi ambao kwa huo alizichukua dhambi zote za ulimwengu.
Je, Yesu alikuja kwa damu? Ndiyo ni sahihi. Alikuja katika mwili wa mwanadamu na kubatizwa ili kuchukua dhambi zote za ulimwengu, kisha akalipa mshahara wa dhambi kwa kuvuja damu Msalabani. Yesu alikuja kwa damu.
Je, Yesu alikuja kwa Roho? Ndiyo ni sahihi. Yesu alikuwa God, lakini alikuja kama Roho katika mwili ili kuwa Mwokozi wa wenye dhambi.

https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35

Les membres Amazon Prime bénéficient automatiquement de 2 livres audio offerts chez Audible.

Vous êtes membre Amazon Prime ?

Bénéficiez automatiquement de 2 livres audio offerts.
Bonne écoute !

    Ce que les auditeurs disent de 6. Yesu Kristo Alikuja kwa Maji, Damu, na Roho (1 Yohana 5:1-12)

    Moyenne des évaluations utilisateurs. Seuls les utilisateurs ayant écouté le titre peuvent laisser une évaluation.

    Commentaires - Veuillez sélectionner les onglets ci-dessous pour changer la provenance des commentaires.

    Il n'y a pas encore de critique disponible pour ce titre.