Couverture de 6. Mafumbo ya Kiroho Yaliyofichwa Katika Sanduku la Ushuhuda (Kutoka 25:10-22)

6. Mafumbo ya Kiroho Yaliyofichwa Katika Sanduku la Ushuhuda (Kutoka 25:10-22)

6. Mafumbo ya Kiroho Yaliyofichwa Katika Sanduku la Ushuhuda (Kutoka 25:10-22)

Écouter gratuitement

Voir les détails

À propos de cette écoute

Mada ya leo ni Sanduku la Ushuhuda. Sanduku la Ushuhuda lilikuwa na vipimo vya sentimita 113 (futi 3.7) kwa urefu, sentimita 68 (futi 2.2) kwa upana, na sentimita 68 (futi 2.2) kwa kimo chake, Sanduku hili lilitengenezwa kwa mti wa mshita na lilifunikwa kwa dhahabu safi. Ndani ya Sanduku kulikuwa na mbao mbili za mawe zilizokuwa zimeandikwa Amri Kumi na bilauri ya dhahabu iliyokuwa na manna, na baadaye iliwekwa ile fimbo ya Haruni iliyochipuka. Je, vitu hivi vitatu vilivyowekwa ndani ya Sanduku hili la Ushuhuda vinatueleza nini? Kwa kupitia vifaa hivyo, nitapenda kutoa ufafanuzi wa kina na wa upana kuhusiana na huduma tatu za Yesu Kristo. Hebu sasa na tuchunguze juu ya ukweli wa kiroho uliodhihirishwa katika vifaa hivi vitatu vilivyokuwa vimewekwa ndani ya Sanduku la Ushuhuda.

https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35

Les membres Amazon Prime bénéficient automatiquement de 2 livres audio offerts chez Audible.

Vous êtes membre Amazon Prime ?

Bénéficiez automatiquement de 2 livres audio offerts.
Bonne écoute !

    Ce que les auditeurs disent de 6. Mafumbo ya Kiroho Yaliyofichwa Katika Sanduku la Ushuhuda (Kutoka 25:10-22)

    Moyenne des évaluations utilisateurs. Seuls les utilisateurs ayant écouté le titre peuvent laisser une évaluation.

    Commentaires - Veuillez sélectionner les onglets ci-dessous pour changer la provenance des commentaires.

    Il n'y a pas encore de critique disponible pour ce titre.