Couverture de 4. Itazame Huduma ya Yohana Mbatizaji! (Luka 1:17-23)

4. Itazame Huduma ya Yohana Mbatizaji! (Luka 1:17-23)

4. Itazame Huduma ya Yohana Mbatizaji! (Luka 1:17-23)

Écouter gratuitement

Voir les détails

À propos de cette écoute

Injili ya Luka katika sura ya 1 aya ile ya 17 inaeleza kuwa Yohana Mbatizaji alikuwa ni mtu aliyekuja katika roho na nguvu ya Eliya na akaifanya kazi ya kuwarudisha watu kwa Mungu mbele ya uwepo wa Bwana. Yohana Mbatizaji alikuwa ni tofauti na watu wengine tangu alipozaliwa. Sisi watu wa kawaida tunaoana na kisha kuzaa watoto kwa kudhamiria au kutodhamiria kadri muda unavyozidi kwenda. Lakini Yohana Mbatizaji ni mtu ambaye kuzaliwa kwake kulikwisha tabiriwa na kuandaliwa katika Agano la Kale. Inasemwa kuwa Yohana Mbatizaji atakuja kwetu katika roho na nguvu ya Eliya.

https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35

Les membres Amazon Prime bénéficient automatiquement de 2 livres audio offerts chez Audible.

Vous êtes membre Amazon Prime ?

Bénéficiez automatiquement de 2 livres audio offerts.
Bonne écoute !

    Ce que les auditeurs disent de 4. Itazame Huduma ya Yohana Mbatizaji! (Luka 1:17-23)

    Moyenne des évaluations utilisateurs. Seuls les utilisateurs ayant écouté le titre peuvent laisser une évaluation.

    Commentaires - Veuillez sélectionner les onglets ci-dessous pour changer la provenance des commentaires.

    Il n'y a pas encore de critique disponible pour ce titre.