Couverture de Mawimbi ya Matumaini

Mawimbi ya Matumaini

Mawimbi ya Matumaini

De : Hope Media SNC
Écouter gratuitement

À propos de ce contenu audio

Katika ulimwengu wenye kelele na fujo nyingi zinazotunyong'onyesha ni habari njema kuwa na mahali ambapo tunaweza pata tulizo. Kutoka hapa tumaini linalopatikana katika Yesu mwokozi katika mfumo wa mawimbi tulivu ya sauti njema. Haijalishi uko wapi ama unafanya nini unachohitaki ni kujiunganisha na sehemu hii na sauti za watumishi mbalimbali wa Mungu zikieleza kuhusu pendo lake lisilo na kifani zitakufikia... Hakika haya ni Mawimbi ya Matumaini kutoka South Nyanza Conference.Hope Media SNC Christianisme Ministère et évangélisme Spiritualité
Les membres Amazon Prime bénéficient automatiquement de 2 livres audio offerts chez Audible.

Vous êtes membre Amazon Prime ?

Bénéficiez automatiquement de 2 livres audio offerts.
Bonne écoute !
    Épisodes
    • NenoLaBwana | Mahusiano Yenye Uhusiano Sehemu ya 1 - Mch. Paul Semba
      Dec 17 2023

      Somo hili lilitolewa katika mfululizo wa masomo ya siku kumi za uamsho wa kaya na familia zilizofanyika katika Kanisa la Waadventista wa Sabato Kiseke. Hili ni somo la kwanza katika mfululizo huo uliopewa kichwa kisemacho "Mahusiano Yenye Uhusiano" Waweza Fuatilia Ukurasa wa Kanisa la Waadventista wa Sabato Kiseke: https://www.youtube.com/@kisekesdamedia --------------------------------------------- Kurasa Rasmi za Mitandao ya Kijamii za South Nyanza Conference Tufuatilie: https://linktr.ee/sncadventist --------------------------------------------- ©MawasilianoSNC2023

      Afficher plus Afficher moins
      58 min
    • Nyayo katika Mapambano | Pr. Paul Semba
      May 15 2023

      Katika somo hili Mchungaji Semba anatupeleka katika ajenda kuu ya sura ya tatu ya kitabu cha Mwanzo ambapo tunaona pambano kati ya Elohim na Shetani anaekuja kwa umbo la nyoka.


      Barikiwa na somo hili...

      Afficher plus Afficher moins
      43 min
    • Tofauti kati ya Makusudi na Maelekezo | Pr. Peter John
      May 15 2023

      Mungu analo kusudi kwa ajili ya kila mmoja wetu na kama tunakusudia kujenga familia zilizo imara ni muhimu kufahamu kusudi hilo na kuishi kuendana na hilo. Mchungaji John anatumia somo hili la pili kuelekeza juu ya umuhimu wa kufahamu makusudi haya na kuishi kulingana na maelekezo ya muumba wetu ili kujenga mahusiano imara na Mungu wetu na hatimaye wenzi wetu.


      Bwana akubariki sana.

      Afficher plus Afficher moins
      23 min
    Aucun commentaire pour le moment