Épisodes

  • Biashara za huduma
    May 14 2026

    Marafiki wawili wakizungumzia transitioning from chuo to the job market to starting a business.

    Afficher plus Afficher moins
    52 min
  • Ins and outs za Biashara
    Mar 31 2026

    Kuanzisha na kuendesha biashara na Coach Gloria!

    Afficher plus Afficher moins
    54 min
  • Masoko ya mitaji na dhamana Tanzania
    Mar 30 2026

    Kipindi hiki kinaelezea kwa lugha rahisi mfumo wa masoko ya mitaji nchini Tanzania—jinsi yanavyofanya kazi, nani anayehusika, na kwa nini ni muhimu kwa mtu anayefikiria kuwekeza au kukuza fedha zake.

    Afficher plus Afficher moins
    49 min
  • Basics za uwekezaji
    Feb 25 2026

    Katika session hii, tunaongelea basics za uwekezaji kwa lugha simple na relatable.

    Uwekezaji ni nini hasa? Unaanza lini? Unahitaji hela nyingi? Na tofauti yake na saving ni ipi?

    Afficher plus Afficher moins
    45 min