Couverture de Uchovu wa Kiroho na Anguko la Samsoni.

Uchovu wa Kiroho na Anguko la Samsoni.

Uchovu wa Kiroho na Anguko la Samsoni.

Écouter gratuitement

Voir les détails

🎙️ Leo kwenye Neno la Leo

Leo tunaendelea na simulizi ya Samsoni kupitia Waamuzi 16:19–21. Baada ya kupuuza maonyo ya Mungu kwa muda mrefu, Samsoni aliamka akidhani kila kitu kiko sawa, bila kutambua kwamba uwepo wa Mungu ulikuwa umeondoka. Kupitia simulizi hii tunajifunza kwamba hatari kubwa si kupoteza vipawa, mafanikio au nguvu, bali kupoteza ukaribu wetu na Mungu. Je, bado tunamtegemea Mungu kila siku, au tumeanza kuamini uwezo na uzoefu wetu wenyewe?

Karibu tusikilize, tutafakari na kujifunza pamoja. 🙏📖✨

adbl_web_anon_alc_button_suppression_t1
Aucun commentaire pour le moment