Épisodes

  • Taarifa ya Habari: Onyo za mafuriko zawekwa kote jimboni Queensland
    Mar 6 2026
    Onyo za mafuriko zimewekwa kote jimboni Queensland, wakati hali ya hewa ya kitropiki inatabiriwa kufika pwani mchana wa leo kati ya miji ya Cairns na Townsville.
    Afficher plus Afficher moins
    14 min
  • Australia Yafafanuliwa: Jinsi makazi ya umma na ya kijamii yanavyo tumiwa nchini Australia
    Mar 6 2026
    Kupata mahali pa kuishi pazuri na pa bei nafuu kunazidi kuwa vigumu kwa watu wengi kote Australia.
    Afficher plus Afficher moins
    15 min
  • SBS Learn Eng Ep104 Jinsi yakuzungumza kuhusu mitihani
    Mar 6 2026
    Je, unajua jinsi yakuzungumza kuhusu mitihani?
    Afficher plus Afficher moins
    12 min
  • Taarifa ya Habari: DFAT yatuma timu kuwasaidia Waaustralia waliokwama Mashariki ya Kati
    Mar 5 2026
    Waziri wa Mambo ya Nje wa Australia Penny Wong amesema dunia ina wasiwasi kuhusu jinsi Iran inavyo jibu mashambulizi ya Marekani na Israel yaliyomuua kiongozi wake, Ayatollah Khamenei na kulenga miundombinu ya nyuklia.
    Afficher plus Afficher moins
    6 min
  • Jay "Marekani iki kuambia wanataka mfanye mazungumzo jua nyuma ya pazia wanapanga kitu fulani"
    Mar 3 2026
    Siku kadhaa baada ya Israel na Marekani kuanza mashambulizi yao dhidi ya Iran, wachambuzi wame anza kuelezea madhara ya vita hivyo katika kanda hiyo na duniani kote kwa ujumla.
    Afficher plus Afficher moins
    10 min
  • Taarifa ya Habari: Australia haishiriki katika vita dhidi ya Iran, Waziri wa Ulinzi aeleza vyombo vya habari
    Mar 3 2026
    Waziri wa Ulinzi Richard Marles amethibitisha kwamba Australia haishiriki katika hatua za kijeshi zinazoendelea dhidi ya Iran.
    Afficher plus Afficher moins
    13 min
  • Yaliyojiri Afrika: Muungano wa Afrika walaani vita dhidi ya iran, waomba vistishwe maramoja
    Mar 3 2026
    Viongozi kadhaa wa bara la Afrika wameungana na Muungano wa Afrika kulaani vita vinavyo endelezwa na Marekani na Israel dhidi ya Iran.
    Afficher plus Afficher moins
    9 min
  • Makala leo: Wairani-Waaustralia waomba demokrasia baada ya mashambulizi ya Marekani na Israeli
    Mar 3 2026
    Wairani-Waaustralia wanaelezea hisia mseto kuhusu mashambulizi ya Marekani na Israel nchini Iran, pamoja na mauaji ya Kiongozi Mkuu Ayatollah Ali Khamenei.
    Afficher plus Afficher moins
    11 min