Épisodes

  • Je, katika Sanduku la Agano Wayahudi walikuwa wamebeba nini?
    Feb 3 2026

    Karibu katika kipindi cha Maswali yahusuyo Imani, Mwezeshaji ni Frateri Thimothy Msigwa kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo Kuu Katoliki Songea, akifafanua ni kitu gani Wayahudi walikuwa wamebeba katika Sanduku la Agano.

    L'articolo Je, katika Sanduku la Agano Wayahudi walikuwa wamebeba nini? proviene da Radio Maria.

    Afficher plus Afficher moins
    24 min
  • Je, unafahamu athari za ukatili dhidi ya Watoto?
    Feb 3 2026

    Karibu uungane nami mtangazaji wako Catherine Kaberege katika kipindi cha Malezi na makuzi, Studio niko na Sister Theresia Karubaga kutoka Shirika la Bikira Maria Mama wa Masaada wa daima Jimbo Katoliki Bukoba, Ambaye anafanya utume wake Kwasasa Jimbo Katoliki Zanzibar, Leo atatupa elimu juu ya ukatili dhidi ya Watoto

    L'articolo Je, unafahamu athari za ukatili dhidi ya Watoto? proviene da Radio Maria.

    Afficher plus Afficher moins
    35 min
  • Fahamu matumizi na umuhimu wa nishati ya umeme na mita janja kwa maendeleo endelevu
    Feb 3 2026

    Karibu uungane nami mtangazaji wako Happiness Mlelwa katika kipindi chetu pendwa cha Elimu Jamii, hapa studio tupo na Bi Irene Guela kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano huduma kwa wateja kutoka TANESCO na Bi Catherine Mugoha Muhandisi nishati safi kutoka TANESCO, Wakitupa elimu kuhusu nishati na mita janja kupelekea maendeleo endelevu

    L'articolo Fahamu matumizi na umuhimu wa nishati ya umeme na mita janja kwa maendeleo endelevu proviene da Radio Maria.

    Afficher plus Afficher moins
    44 min
  • Fahamu matumizi sahihi ya chumvi na sukari katika lishe
    Feb 3 2026

    Ungana nami Mtangazaji wako Catherine Kaberege katika kipindi chetu pendwa cha chakula na lishe ambapo leo studio nipo na Bi. Nusura Salum, Afisa Lishe Mtafiti kutoka Taasisi ya chakula na lishe Tanzania (TFNC), akiendelea kutoa ufafanuzi zaidi juu yamatokeo hasi na chanya ya Chumvi na Sukari katika Lishe.

    L'articolo Fahamu matumizi sahihi ya chumvi na sukari katika lishe proviene da Radio Maria.

    Afficher plus Afficher moins
    52 min
  • Fahamu Waraka wa Baba Mtakatifu Leo XIV juu ya upendo kwa maskini
    Feb 3 2026

    Ungana nami Mtangazaji wako Happiness Mlewa katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Mwezeshaji Padri Dominic Mavula C.PP.S, Mkurugenzi Wa Matangazo Radio Maria Tanzania akitufundisha juu ya upendo kwa maskini.

    L'articolo Fahamu Waraka wa Baba Mtakatifu Leo XIV juu ya upendo kwa maskini proviene da Radio Maria.

    Afficher plus Afficher moins
    47 min
  • Je, ni kweli mtu akitoka katika Kanisa Katoliki na kwenda katika Madhehebu mengine anakuwa mbishi na mkaidi?
    Feb 3 2026

    Karibu uungane na Padre Titus Amigu, Mtalaam wa Maandiko Matakatifu kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT), Jimbo Kuu Katoliki Mwanza katika kipindi cha Ujumbe wa Biblia akiendelea kujibu Maswali ya Msikilizaji na moja ya Maswali hayo ni kwanini Mkatoliki akihamia katika ulokole anakuwa makaidi na mbishi?

    L'articolo Je, ni kweli mtu akitoka katika Kanisa Katoliki na kwenda katika Madhehebu mengine anakuwa mbishi na mkaidi? proviene da Radio Maria.

    Afficher plus Afficher moins
    56 min
  • Je, unafahamu maana na umuhimu wa viakisi mwanga barabarani?
    Jan 30 2026

    Karibu uungane nami Happiness Mlewa katika kipindi cha Usalama Barabarani, Wawezeshaji ni Staff Sajenti Aurelian Chuwa na Sajenti Abdala Isamail kutoka Traffic Makao Makuu wakizungumzia mada juu ya viakisi mwanga.

    L'articolo Je, unafahamu maana na umuhimu wa viakisi mwanga barabarani? proviene da Radio Maria.

    Afficher plus Afficher moins
    36 min
  • Fahamu kutungwa mimba kwa mwanadamu mpaka kuzaliwa kwake
    Jan 29 2026

    Karibu uungane nami Elizabeth Masanja katika kipindi cha Pro – Life, Utetezi wa Uhai ambapo studio nipo na Bwana Godfrey Mkaikuta, Antony Lihepa, Witness Joachim na Janeth Akaro, Wakufunzi kutoka Pro – Life Tanzania wakitufundisha mada juu ya Mwanamke na tumbo la uzazi.

    L'articolo Fahamu kutungwa mimba kwa mwanadamu mpaka kuzaliwa kwake proviene da Radio Maria.

    Afficher plus Afficher moins
    54 min