Épisodes

  • Unaweza Mpenda Mtu Asiyekupa Kitu?
    Mar 16 2026

    Ili mahusiano yawe ya thamani kwako je utatarajia jambo? Mapenzi ili yawe matamu yanahitaji pesa? Ndoa ili iwe na raha, itabidi iwe na mtoto? Mauhusiano mengi yamevunjwa kwasababu watu hawatambui msingi wa mahusiano ni kuhusiana na sio kupeana au kuonyeshana.

    Pengine hauridhishwi na mahusiano uliyonayo kwasababu hayaelekei vile ungependa, naomba nibadilishe mtazamo wako. Naomba kwenye Episode hii nikupe mwanga wa kukutoa kwenye giza la mahusiano "Superficial" to Mahusiano "Natural".



    Afficher plus Afficher moins
    31 min
  • Hey Champion,Utaweza!
    Mar 6 2026

    Katika episode hii ninaongea na wewe, "Tough Person," ambaye unapitia jambo ambalo hata wewe unaona ni gumu kuliko wewe. Sikiliza mpaka mwisho, ili ujuwe kwanini you are who you are; a tough one.

    Afficher plus Afficher moins
    12 min
  • Let Me Be Real With You. Epi3
    Feb 5 2026

    Maisha ya kila siku yanataka mahusiano ya kweli na halisia, kikwazo ambacho kina wanyima watu wengi kufurahia mahusiano mbalimbali ni HOFU. Hofu ya kuwa "Dissapointed", ndio maana katika Epidode ya Pili ya "Let them Dissapoint You" niligusia kwamba waache watu wakuvunje moyo. Ila kwenye muendelezo wa Epidode 3 nitakuambia kwanini unafurahia zaidi Quality Relationships if you Let People Be Real with you and You with them.

    Afficher plus Afficher moins
    12 min