Couverture de Ijumaa - 23 Desemba

Ijumaa - 23 Desemba

Ijumaa - 23 Desemba

Écouter gratuitement

Voir les détails

3 mois pour 0,99 €/mois

Après 3 mois, 9.95 €/mois. Offre soumise à conditions.

À propos de ce contenu audio

Karibu kwenye taarifa yetu ya khabari kutoka Dawati la Khabari lilioko Maskati, Oman.

Unaweza kupokea taarifa zetu za khabari kupitia Apple Podcasts, Google Podcasts, CastBox, OverCast na vituo vyengine vya Podcasts. Unachotakiwa kufanya ni kupakia Podcasts yoyote kati ya hizo kwenye simu na ikisha, kutafuta Khabari za Oman na kujisajili kwenye mkondo wetu. Hii ndiyo njia bora kabisa ya kutusikiliza kila siku kwa sababu utapata taarifa moja kwa moja na mapema zaidi kwenye simu yako. Tafadhali wapashe na wengine khabari hii.

Ukiwa na masuala au fikra maalumu kukhusu matangazo haya ya khabari na utapenda kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie kwa kutumia anuani hii: karibu@sauti.om

Les membres Amazon Prime bénéficient automatiquement de 2 livres audio offerts chez Audible.

Vous êtes membre Amazon Prime ?

Bénéficiez automatiquement de 2 livres audio offerts.
Bonne écoute !
    Aucun commentaire pour le moment