Couverture de HADITHI HADITHI- ''hadithi njoo ukweli njoo, utamu kolea''

HADITHI HADITHI- ''hadithi njoo ukweli njoo, utamu kolea''

HADITHI HADITHI- ''hadithi njoo ukweli njoo, utamu kolea''

De : Judith Isack
Écouter gratuitement

À propos de ce contenu audio

Huu ni mwanzo wa mfululizo wa hadithi za kiswahili zitakazomsaidia mtoto kuwa na uwezo mzuri wa kufanya vizuri darasani kwa kumuongezea uwezo wa kuhifadhi kumbukumbu, hali ya udadisi na uwezo wa kufikiria na kuchanganua mambo mbalimbali.judithisack2022 Roman et littérature
Les membres Amazon Prime bénéficient automatiquement de 2 livres audio offerts chez Audible.

Vous êtes membre Amazon Prime ?

Bénéficiez automatiquement de 2 livres audio offerts.
Bonne écoute !
    Épisodes
    • MKE MKULIMA NA MUME MWINDAJI
      Oct 23 2022

      Ukimaliza kusikiliza hadithi hii naomba niambie vitu hivi

      -Ni sehemu gani ya hadithi hii imekuvutia zaidi?

      -Ni nani umempenda zaidi kwenye hadithi hii kati ya mume mwindaji, mke mkulima au Sungura?

      -unahisi kwanini hadithi hiiilitungwa, ungekuwa wewe ndo umeitunga hadithi hii je ungeimalizaje?

      INSTAGRAM @simulikahadithiya maisha EMAIL simulikaorganization@gmail.com

      Afficher plus Afficher moins
      22 min
    Aucun commentaire pour le moment