Épisodes

  • EXCLUSIVE: JUX ASIMULIA YOTE BAADA YA KUFUNGA NDOA, ATOA JIBU LA NDOA YA KIKRISTO NIGERIA
    48 min
  • EXCLUSIVE - JESCA MAGUFULI ASIMULIA SIKU ZA MWISHO ZA RAIS MAGUFULI KABLA YA KIFO, MAISHA NA FAMILIA
    1 h et 23 min
  • Exclusive: Siku-Enjoy ndoa nilikamilisha picha tu, nilitengeneza pesa kidogo
    Jan 13 2023

    Mwimbaji Staa wa Bongofleva Ben Pol ameiambia AMPLIFAYA ya Clouds FM kwenye Exclusive Interview kuwa hakuifurahia ndoa yake kama alivyotarajia na kukiri kuwa hali ilikua tofauti na jinsi Watu wengi kwa nje walivyokuwa waki-imagine kupitia picha mbalimbali alizokuwa akiziweka mtandaoni.

    Afficher plus Afficher moins
    20 min
  • EXCLUSIVE JACQUELINE MENGI AFUNGUKA SIKU ZA MWISHO ZA DR. MENGI, KUZUIWA KABURINI, MALI ALIZOACHIWA
    Mar 3 2020

    Mke wa pili wa Marehemu Dr. Reginald Mengi, Jacqueline Mengi amekaa kwenye Exclusive Interview na Millard Ayo na kufafanua kile alichokiandika kuhusu kuzuiwa kuingia kwenye eneo la Familia ambako Marehemu Mume wake alizikwa. Hata hivyo baada ya mahojiano haya tuliutafuta upande wa pili wa Familia ya Marehemu ili kusikia kauli yao juu ya tuhuma hizo zilizotolewa na Jacqueline lakini hawakuwa tayari kuzungumza chochote kwa sasa.

    Afficher plus Afficher moins
    49 min
  • IRENE UWOYA: "NIKO TAYARI KWA NDOA YA 3, SIKUWAHI KUBADILI DINI
    Feb 17 2020

    #ONAIRWITHMILLARDAYO #IRENEUWOYA

    Afficher plus Afficher moins
    37 min
  • EXCLUSIVE HISTORIA YA GIGI MONEY BABA POLISI MAMA MHALIFU
    Nov 21 2018

    karibu kwenye Podcast ya kwanza kutoka kwa Millard Ayo akiwa na Gigy Money

    Afficher plus Afficher moins
    17 min