Couverture de Biblia Inasema Usiogope

Biblia Inasema Usiogope

Biblia Inasema Usiogope

De : Pastor Msafiri
Écouter gratuitement

À propos de ce contenu audio

Mafundisho mbalimbali ya Biblia yaliyobeba ujumbe kwamba USIOGOPE. Namna pekee ya kukua katika imani na kukua katika uhusiano wetu na Mungu ni kuweka woga mbali nasi. Tubaki majasiri tukipiga mbio kuumaliza mwendo tuliowekewa na kuufikia mwisho mwema, tukibarikiwa na kufanyika baraka kwa wengine.Pastor Msafiri Spiritualité
Les membres Amazon Prime bénéficient automatiquement de 2 livres audio offerts chez Audible.

Vous êtes membre Amazon Prime ?

Bénéficiez automatiquement de 2 livres audio offerts.
Bonne écoute !
    Épisodes
    • Usiogope Kuuliza
      Dec 2 2024
      Lakini hawakulifahamu neno lile, likafichwa kwao wasilitambue; wakaogopa kumwuliza maana yake neno lile. Luka 9:45
      Afficher plus Afficher moins
      25 min
    • Kumtafuta Bwana Kunaondoa Hofu
      Nov 25 2024
      "Nalimtafuta BWANA akanijibu, Akaniponya na hofu zangu zote." Zaburi 34:4
      Afficher plus Afficher moins
      19 min
    • Usiogope Kumwona Bwana
      Nov 18 2024
      Kuna mambo hutavuka usipomwona Bwana; Kuna kiwango cha imani hutafikia usipomwona Bwana. Sikiliza somo hili ujue kwa nini ni mapenzi Yake umwone na kuondoa hofu ya kumwona. Usiogope kumwona Bwana.
      Afficher plus Afficher moins
      29 min
    Aucun commentaire pour le moment