Cover of HALISI CHATS

HALISI CHATS

HALISI CHATS

By: Anna Chinyoyo
Listen for free

Season's Savings | 0.99 €/month for 3 months

5.99 €/month thereafter - terms apply. Cancel monthly.
Summary

Halisi Chats ni mazungumzo halisi kuhusu pesa, biashara, career na growth. Tunabreak down topics kama saving, investing na discipline kwa real-life examples ambazo zina make sense kwetu East Africa haswa Tanzania. Let us grow pamoja — pole pole but strategically. With Anna Chinyoyo 🎙️

Anna Chinyoyo
Career Success Economics Personal Finance
Episodes
  • Investement clubs na VICOBA
    8 Oct 2026

    Mazungumzo yanagusia kuwekeza na kuzalisha kwa vikundi. Tumegusia VICOBA, investement clubs na namna ya kuvirasmisha kwenye uwekezaji.

    Show more Show less
    42 min
  • Biashara na uwekezaji kwenye masoko ya mitaji
    14 Sep 2026

    Je uwekezaji (masoko ya mitaji) ni muhimu kwa wafanya biashara

    Show more Show less
    57 min
  • Kutengeneza wealth with Rich Aunty
    27 Aug 2026

    Tunaongelea uwekezaji na unavyoweza kutengeneza wealth

    Show more Show less
    41 min
adbl_web_anon_alc_button_suppression_t1
No reviews yet