Cover of Amedeus Live Podcast

Amedeus Live Podcast

Amedeus Live Podcast

By: Amedeus D. Raphael
Listen for free

Season's Savings | 0.99 €/month for 3 months

5.99 €/month thereafter - terms apply. Cancel monthly.
Summary
Kufikia wasiofikiwa na kugusa wasio guswa kwa Injili ya Kiumbe Kipya ya Bwana wetu Yesu Kristo. Maudhui ya Podcast hii: Mapitio ya Rhapsodi ya Uhakika, Maungamo ya Afya ya Kiungu, Ukiri wa Imani, Mtazamo wa Mkristo, Mapitio ya Vitabu,Amedeus D. Raphael Christianity Ministry & Evangelism Spirituality
Episodes
  • Tumetokana na Mungu
    1 Apr 2024
    Mungu ni chanzo chetu, tumezaliwa neno lake, tumetokana na yeye. Ametuzaa kwa mapenzi yak, sisi na kazi ya mikono yake, limbuko la kwanza la viumbe wake. Tuna uzima wa aina yake, tuna asili yake na tumejazwa kwa Roho wake.
    Show more Show less
    16 min
  • Msingi wa Imani ya Kikristo
    1 Apr 2024
    Kristo ndani yako nfio maana halisi na mjumuisho mzima wa Imani ya Kristo. ukristo sio dini, ni uhalisia uhusiano wa Mungu na mwanadamu. Ni maisha halisi ya Mungu ndani ya mwanadamu. Ni Uungu katika mwili.
    Show more Show less
    18 min
  • Usijitahidi Kushinda Tena
    1 Apr 2024
    Usijitahidi kuwa kile ambacho tayari upo, tambua wewe ni mshindi, na umezaliwa kwenye mshindi na upaswa kudhihirisha ushindi kila siku. Ni jadi yako, Mila Yako, asili Yako kuishi na kutembea katika ushindi.
    Show more Show less
    12 min
adbl_web_anon_alc_button_suppression_t1
No reviews yet